• HABARI MPYA

  Friday, October 23, 2015

  JKT RUVU NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA KARUME

  Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Suleiman Rajab akimtoka beki wa JKT Ruvu, George Minja aliyelala chini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 0-0.
  Beki wa JKT Ruvu, George Minja akipiga mpira katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar

  Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mohammed Ibrahi akimtoka beki wa JKT Ruvu, Nurdin Mohammed

  Kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shango akimgeuza beki wa Mtibwa Sugar, Rodgers Freddy 

  Kiungo wa Mtibwa, Muzamil Selemba akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa JKT Ruvu, Paul Mhoze

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT RUVU NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top