• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 18, 2015

  UGANDA YATANGULIZA MGUU MMOJA CHAN YA RWANDA, YAICHAPA SUDAN 2-0

  Uganda imeanza vizuri hatua ya mwisho ya mchujo wa kufuzu Michano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kuifunga mabap 2-0 Sudan jana Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala.
  Shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo, Frank Kalanda na Nahodha Farouk Miya na sasa The Cranes itahitaji sare au kufungwa si zaisi ya 1-0 katika mchezo wa marudiano ili kufuzu CHAN ya 2016 nchini Rwanda.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UGANDA YATANGULIZA MGUU MMOJA CHAN YA RWANDA, YAICHAPA SUDAN 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top