• HABARI MPYA

  Sunday, October 25, 2015

  MANCHESTER UNITED NA CITY NGUVU SAWA, ZATOKA 0-0 ENGLAND

  Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney akimruka beki wa Manchester City, Bacary Sagna katika mechi ya Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zimetoka 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED NA CITY NGUVU SAWA, ZATOKA 0-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top