• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 26, 2015

  SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCELONA IKISHINDA 3-1 LA LIGA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia timu yaKe mabao yote matatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Elbar mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Bao la Elber lilifungwa na Borja Baston PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCELONA IKISHINDA 3-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top