• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 19, 2015

  KIKAO CHA KAMATI YA TAIFA STARS KATIKA PICHA USIKU HUU

  Mjumbe wa Kamati ya timu ya soka ya taifa ya Tanznaia, Taifa Stars Mussa Katabaro akichangia mawazo yake katika kikao cha Kamati hiyo usiku wa Jumapili hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam.
  Mwenyekiti wa Kamati, Farough Baghozah (kulia), akiwa na Makamu wake, Michael Wambura (kushoto)

  Kutoka kulia Mussa Katabaro, Philemon Ntahilaja na Isaac Chanji
  Kutoka kulia Eliud Mvella, Salim Abdallah, Maulid Kitenge na Wakili Imani Madega
  Wajumbe wameizunguka meza
  Juma Pinto kulia na Mohammed Nassor kushoto
   Kulia ni Baraka Kizuguto na kushoto Ahmed Iddi Mgoyi
  Kulia Katibu wa Kamati, Teddy Mapunda na kushoto Mwenyekiti Farough Bagozah

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKAO CHA KAMATI YA TAIFA STARS KATIKA PICHA USIKU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top