• HABARI MPYA

  Friday, October 30, 2015

  AZAM FC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA KARUME

  Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa JKT Ruvu, Renatus Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 4-2

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipambana na kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shengo

  Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akipambana na beki wa JKT Ruvu, Renatus Morris 

  Winga wa Azam FC, Farid Mussa (kulia) akimtoka winga wa JKT Ruvu, Emmanuel Pius

  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akimtoka kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shengo


  Kipa wa Azam FC, Aishi Manula akidaka shuti la ana kwa ana la Emmanuel Pius wa JKT Ruvu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top