• HABARI MPYA

  Thursday, October 22, 2015

  YANGA SC NA TOTO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Winga wa Yanga SC, Godfrey Mwashiuya akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-1
  Mshambuliaji Mzimbabwe wa Yanga SC, Donald Ngoma (kushoto) akimtoka beki wa Toto
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita mabeki wa Toto
  Beki wa Toto Africans, Hassan Khatib (kushoto) akipambana na winga wa Yanga SC, Mbrazil Andrey Coutinho
  Kipa wa Toto, Mussa Mohammed akiwa amedaka mpira huku beki wake, akiwa tayari kumsaidia. Kulia ni mshambuliajiwa Yanga SC, Malimi Busungu
  Amissi Tambwe (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya mchezaji wa Toto
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA TOTO KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top