• HABARI MPYA

  Ijumaa, Oktoba 30, 2015

  MBEYA CITY WATOA KUBWA ZURI, SCREEN MASTERS WAMELIPAMBA HADI RAHA!

  Basi la klabu ya Mbeya City FC baada ya kupambwa na kampuni ya Screen Masters Limited ya Dar es Salaam tayari kuanza shughuli ya kusafirisha wachezaji wa timu hiyo kwa safari za ndani na nje ya Mbeya kwenye mechi mbalimbali
  Basi limepambwa kwa ubora wa hali ya juu na kampuni ya Screen Masters yenye ofisi zake Kinondoni, Mtaa wa Togo, Dar es Salaam
  Mbeya City sasa inaungana na klabu nyingine za Ligi Kuu, Azam FC, SImba na Yanga kuwa na mabasi makubwa mazuri na ya kisasa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBEYA CITY WATOA KUBWA ZURI, SCREEN MASTERS WAMELIPAMBA HADI RAHA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top