• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 24, 2015

  'STRAIKA' MACHUPPA ANAWATAKAI UCHAGUZI MWEMA KESHO

  Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Simba SC, Athumani Iddi Machuppa anayeishi Sweden kwa sasa baada ya kustaafu soka, kupitia ukurasa wake wa Facebook, amewatakia Watanzania wenzake uchaguzi mwema kesho. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Simba SC hataweza kupiga kura kwa sababu kwa sasa anaishi Sweden alikomalizia soka yake baada ya kucheza klabu kadhaa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'STRAIKA' MACHUPPA ANAWATAKAI UCHAGUZI MWEMA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top