• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 18, 2015

  YATAKA MOYO WA KAMBUZI KUAMUA HII NI PENALTI

  Mshambuliaji wa Yanga SC Simon Msuva (katikati) akiwa amepiga mpira uliotuama juu ya nyavu za lango la Azam FC, mbele yake kipa Aishi Manula akiwa ameruka bila mafanikio na nyuma yake beki David Mwantika akiwa amekata tamaa baada ya kupitwa. Lakini ajabu refa Abdallah Kambuzi wa Shinyanga aliamuru Yanga wapige penalti, ambayo kiungo Thabani Kamusoko alikosa dakika za mwishoni timu hizo zikitoka sare ya 1-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YATAKA MOYO WA KAMBUZI KUAMUA HII NI PENALTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top