• HABARI MPYA

  Saturday, October 24, 2015

  RONALDO KAMA KAWAIDA, AFUNGA REAL MADRID IKISHINDA 3-1 UGENINI LA LIGA

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro (kulia) akimtia tobo Sergi Gomez wa Celta Vigo katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Balaidos. Real imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Ronaldo dakika ya nane, Danilo Luiz da Silva dakika ya 23 na Marcelo Vieira Da Silva Junior dakika ya 90+5, wakati la wenyeji lilifungwa na Manuel Agudo Duran dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO KAMA KAWAIDA, AFUNGA REAL MADRID IKISHINDA 3-1 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top