• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 20, 2015

  KUNA WATU WANA VIPAJI BALAA, CHEKI HUYU ALIYEMCHORA HANS POPPE!

  Bango hili la mashabiki wa Simba SC tawi la Manzese Car Wash huja nalo uwanjani kila siku ambazo Simba SC inacheza, likiwa limechorwa picha ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KUNA WATU WANA VIPAJI BALAA, CHEKI HUYU ALIYEMCHORA HANS POPPE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top