• HABARI MPYA

  Thursday, October 29, 2015

  MAN UNITED YATUPWA NJE KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Nyota wa Manchester United wakiwa wanyonge baada ya kutolewa katika hatua ya 16 Bora ya Kombe ya Ligi England, maarufu kama Capital One Cup jana usiku, kufuatia kufungwa kwa penalti 3-1 na Middlesbroughon baada ya sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATUPWA NJE KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top