Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa Sevilla, Timothee Kolodziejczak katika mchezo wa La Liga jioni ya leo. Sevilla imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Michael Krohn-Dehli dakika ya 52 na Vicente Iborra dakika ya 58, huku Neymar akiifungia Barca la kufutia machozi dakika ya 74 kwa penalti. Barcelona inamkosa kinara wake wa mabao, Lionel Messi ambaye ni majeruhi kwa sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How to make the perfect custard creams – recipe
-
They may be pennies a packet, but the ubiquitous custard cream can be a
revelation if you make them at home. But who has come up with the ideal
bake?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment