![]() |
| Beki wa Rangers, Stefano Mwasyika akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' |
![]() |
| Farid Mussa wa Azam FC akimtoka Yussuf Mgwao wa Rangers |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam FC akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Rangers |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira beki wa Rangers |
![]() |
| Benchi la Azam FC kipindi cha kwanza |
![]() |
| Kocha wa Rangers, Heri Mzozo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake |
![]() |
| Kocha Mkuu wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall (kushoto) akijadiliana na Msaidizi wake |










.png)
0 comments:
Post a Comment