• HABARI MPYA

    Tuesday, June 09, 2015

    EDEN HAZARD AMPIKU RONALDO KWA THAMANI, MESSI ANAONGOZA

    MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Eden Hazard atauzwa kwa bei kubwa zaidi ya mshindi wa Ballon d'Or, Cristiano Ronaldo msimu huu, kwa mujibu wa taarifa mpya ya shirika la tathmini za thamani za Michezo na wanamichezo (CIES) upande wa wanasoka.
    Kwa mujibu wa tathmini iliyofanywa katika ligi tano kubwa Ulaya- Ligi Kuu England, La Liga, Bundesliga, Serie A na Ligue 1 - mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ubelgiji ana thamani ya kati ya Pauni Milioni 99 hadi Milioni 110.
    Mshindi huyo wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England (PFA), ameshika nafasi ya pili nyuma ya Lionel Messi, ambaye ana thamani ya Pauni Milioni 207, wakati mshambuliaji wa Real Madrid, Ronaldo anakamilisha tatu bora kwa thamani ya kati ya Pauni 83 hadi Milioni 92.
    Chelsea forward Eden Hazard is worth more than Cristiano Ronaldo, according to a new CIES study
    Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard ana thamani zaidi ya Cristiano Ronaldo, kwa mujibu wa tathmini za CIES

    WACHEZAJI WENYE THAMANI KUBWA ZAIDI ULAYA
    MchezajiMkataba
    hadi
     
    UmriThamani (£m)
    Lionel Messi (Barcelona)201827188-207
    Eden Hazard (Chelsea)20202499-110
    Cristiano Ronaldo (Real Madrid)20183083-92
    Neymar (Barcelona)20182366-73
    Sergio Aguero (Manchester City)20192757-63
    Raheem Sterling (Liverpool)20172054-60
    Paul Pogba (Juventus)20192252-57
    Diego Costa (Chelsea)20192652-57
    Alexis Sanchez (Arsenal)20182650-55
    James Rodríguez (Real Madrid)20202346-51
    Luis Suarez (Barcelona)20192844-49
    Antoine Griezmann (Atletico Madrid)20202444-48
    Cesc Fàbregas (Chelsea)20192843-48
    Isco (Real Madrid)20182342-46
    Harry Kane (Tottenham)20202140-44
    Gareth Bale (Real Madrid)20192538-42
    Philippe Coutinho (Liverpool)20202237-41
    Thibaut Courtois (Chelsea)20192337-41
    Oscar (Chelsea)20192335-39
    Karim Benzema (Real Madrid)20192733-37
    Mario Gotze (Bayern Munich)20172332-35
    Koke (Atletico Madrid)20192330-33
    Christian Eriksen (Tottenham)20182330-33
    Romelu Lukaku (Everton)20192229-33
    Toni Kroos (Real Madrid)20202529-32
    Willian Borges (Chelsea)20182629-31
    Alvaro Morata (Juventus)20192228-31
    Sergio Busquets (Barcelona)20192628-31
    David Silva (Manchester City)20192928-31
    Edinson Cavani (PSG)20182828-31
    Angel Di María (Manchester United)20192727-30
    Kevin de Bruyne (Wolfsburg)20192327-30
    Wayne Rooney (Manchester United)20192927-29
    Marco Verratti (PSG)20192226-29
    Nemanja Mati? (Chelsea)20192626-29
    Robert Lewandowski (Bayern Munich)20192626-29
    Alexandre Lacazette (Lyon)20182426-29
    Thomas Muller (Bayern Munich)20192526-29
    Manuel Neuer (Bayern Munich)20192925-28
    Mesut Ozil (Arsenal)20182625-28
    Gonzalo Higuaín (Napoli)20182725-28
    Ross Barkley (Everton)20182125-27
    Yaya Toure (Manchester City)20173225-27
    Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal)20182125-27
    Jerome Boateng (Bayern München)20182624-26
    Santi Cazorla (Arsenal)20173024-26
    Danny Welbeck (Arsenal)20192424-26
    Jordan Henderson (Liverpool)20202424-26
    Aaron Ramsey (Arsenal)20192423-26
    Miralem Pjanic (Roma)20182523-26
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EDEN HAZARD AMPIKU RONALDO KWA THAMANI, MESSI ANAONGOZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top