SUNDAY KAYUNI AKIPIGA KAZI KAGAME, KWA UTULIVU ZAIDI
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni (katikati) akifuatilia mechi za Kombe la Kagame mchana wa leo Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda. Kulia ni Elijah Onsika na kushoto, Albert Okech kutoka Kenya, ambao kwa pamoja ni Wajumbe wa Kikundi cha Tathmini za Kiufundi (TSG) cha michuano hiyo.
0 comments:
Post a Comment