![]() |
| Wachezaji wa Azam wakienda kupanda basi lao jipya la Higer tayari kuelekea hotelini |
![]() |
| Boti yaKilimanjaro IV iliyowaleta wachezaji wa Azam ikielekea kutia nanga katika bandari ya Zanzibar, iliyojengwa na na kampuni ya Azam Marine |
![]() |
| Wachezaji wa Azam juu kabisa kwenye boti |
![]() |
| Wachezaji wa Azam wakitoka bandarini |
![]() |
| Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog kushoto na beki David Mwantika |
![]() |
| Kulia Ibrahim Mwaipopo na kushoto Mudathir Yahya |
![]() |
| Kocha Msaidizi Kali Ongala kushoto na Jabir Aziz kulia |
![]() |
| Kipre Herman Tchetche kushoto na Muamad Ismael Kone kulia ndani ya basi |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto akiweka kibegi chake kwenye eneo la mizigo |
![]() |
| Siti ya nyuma; Kutoka kulia Said Mourad, John Bocco na Erasto Nyoni |
![]() |
| Jabir Aziz na Mudathir Yahya karibu na choo |














.png)
0 comments:
Post a Comment