• HABARI MPYA

    Wednesday, January 01, 2014

    CHICHI MAWE AKALISHA MKENYA RAUNDI YA PILI TU...KARAMA NAYE AMUONEA IBRA MAOKOLA

    Bondia Joshua Amukulu(kushotO) wa Kenya akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransis Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa kufunga mwaka na kukaribisha mwaka uliofanyika katika ukumbi wa msasani klabu Dar es salaam Miyeyusho alishinda kwa K,O ya raundi ya pili na kuibuka mbabe katika mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

    Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana kakonde na Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao wa raundi sita kwa ajili ya kufunga mwaka king class mawe alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

    USHINDI RAHA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKINULIWA MKONO JUU BAADA YA KUMDUNDA MUSTAFA DOTTO WAKATI WA KUSHEREKEA USIKU WA MWAKA MPYA ZAIDI TEMBELEAwww.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Kalama Nyilawila kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makone na Ibrahimu Maokola wakati wa mpambano wao ulifanyika kwa ajili ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya Kalama  alishonda kwa KO ya raundi ya pili  www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Iddy Mnyeke  kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao wa kuuwaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya mpambano huo ulito droo  picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

    Cosmas Cheka na Iddy Mnyeke wakipambana

    MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO AMBAYO YALIKUWA NI DROO
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHICHI MAWE AKALISHA MKENYA RAUNDI YA PILI TU...KARAMA NAYE AMUONEA IBRA MAOKOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top