Mwanasoka wa kike wa Australia mwenye asili ya Misri, Assmaah Helal akiwa amevalia hijab ya kiislam katika mazoezi mjinji Sydney hivi karibuni (February 23, 2012). Mchezaji huyo ni mzuri, lakini sheria tata ya ya FIFA kuzuia vazi hilo la kiislamu katika soka inamaanisha hawezi kuonyesha kipaj chake na kutimiza ndoto zake kupitia mchezo huo akiwa na jezi ya Australia. Assmah amesema hijab ni sehemu ya utambulisho wa mwanamke wa kiislamu na ameiomba FIFA ifikirie upya suala hilo. AFP PHOTO / Torsten BLACKWOOD
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment