Ujumbe wa kumtakia heri Fabrice Muamba nje ya Uwanja wa
kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya England kati ya Bolton Wanderers na Blackburn
Rovers kwenye Uwanja wa Reebok Machi 24, mwaka 2012 mjini Bolton, England.
Fabrice Muamba bado yupo katika chumba cha wagonjwa walio chini ya uangalizi
maalum kwenye hospitali ya London Chest baada ya kuanguka na kuzimia kwenye mechi
ya Kombe la FA dhidi ya Tottenham Hotspur na Bolton Wanderers Jumamosi
iliyopita.
0 comments:
Post a Comment