• HABARI MPYA

    Thursday, March 16, 2017

    YANGA NDANI YA JKIA, NAIROBI WAKISUBIRI KUUNGANISHA NDEGE

    Kocha wa Yanga, Mzamba George Lwandamina (kushoto) akiwa na wasaidizi wake wakipata chakula Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi, Kenya leo wakisubiri kuunganisha ndege kwenda Lusaka, Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi dhidi ya wenyeji, Zanaco 
    Kushoto ni Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' na beki mwenzake, Oscar Joshua kulia 
    Hapa wachezaji wa Yanga wakichukua chakula JKIA kabla ya kuunganisha ndege ya Lusaka
    Hapa wachezaji wengine wa Yanga 'wakipiga stori' kuvutaa muda wa kupanda ndege nyingine usiku wa leo
    Katikati ni Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh akiwa na Maofisa wengine wa benchi la Ufundi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NDANI YA JKIA, NAIROBI WAKISUBIRI KUUNGANISHA NDEGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top