Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 70 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Rostov usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora michuano ya UEFA Europa League hivyo kusonga mbele Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza Urusi wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment