• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2017

  MATA AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

  Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 70 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Rostov usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora michuano ya UEFA Europa League hivyo kusonga mbele Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza Urusi wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATA AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top