• HABARI MPYA

  Thursday, March 16, 2017

  DROO YA ROBO FAINALI KUPANGWA KESHO...HIZI HAPA ZOTE ZILIZOFUZU

  Timu nane zilifuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu, zikiongozwa na mabingwa watetezi, Real Madrid na Atletico Madrid na Barcelona za Hispania, Bayern Munich, Borussia Dortmund za Ujerumani, Leicester City ya England, Juventus ya Italia na Monaco ya Ufaransa. Droo ya Robo Fainali itapangwa mjini Nyon, Uswisi kesho mchana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DROO YA ROBO FAINALI KUPANGWA KESHO...HIZI HAPA ZOTE ZILIZOFUZU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top