• HABARI MPYA

  Monday, April 03, 2023

  TANZANIA MWENYEJI NDONDI ZA RIDHAA KANDA YA TATU

  RAIS wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Andereson Lukelo Willilo amesema kwamba watakuwa wenyeji wa mashindano ya ndondi za Ridhaa Kanda ya Tatu Afrika ambayo yatafanyika Jijini Dar es Salaam baadaye mwezi huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA MWENYEJI NDONDI ZA RIDHAA KANDA YA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top