• HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2023

  LIGI KUU YA TANZANIA SASA YA TANO KWA UBORA AFRIKA


  SHIRIKISHO la Kimataifa la Historia na Takwimu za Kandanda (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuwa ya tano kwa ubora barani Afrika na ya 39 duniani kwa mwaka 2022, ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 10 Afrika na ya 62 duniani mwaka 2021.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI KUU YA TANZANIA SASA YA TANO KWA UBORA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top