• HABARI MPYA

  Thursday, September 01, 2022

  LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-1 KWA MBINDE


  TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England kama Uwanja wa Anfield.
  Haukuwa ushindi mwepesi, kwani Liverpool walilazimika kutoka nyuma baada ya Alexander Isak kuanza kuifungia Newcastle dakika ya 38, lakini wenyeji wakazinduka kwa mabao ya Roberto Firmino dakika ya na Fabio Carvalho dakika ya 90 na ushei.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-1 KWA MBINDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top