• HABARI MPYA

  Tuesday, February 22, 2022

  YANGA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA TAHADHARI

  MSEMAJI wa Yanga SC, Haji Manara amesema mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro utakuwa mgumu kwao kwa sababu wenyeji wao ni wapinzani kweli. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA TAHADHARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top