• HABARI MPYA

  Monday, February 07, 2022

  GSM YAJITOA LIGI KUU, GHARIB AJIUZULU STARS


  KAMPUNI ya GSM imejitoa katika orodha ya wadhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa kile ilichokieleza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kushindwa kutekeleza makubaliano.
  Aidha, Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Gharib Said Mohamed amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars kuanzia leo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GSM YAJITOA LIGI KUU, GHARIB AJIUZULU STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top