• HABARI MPYA

  Monday, February 07, 2022

  TFF YAITAFUTIA MAJIBU GSM KUJITOA LIGI KUU


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limekiri kupokea barua ya kampuni ya GSM kujitoa katika orodha ya wadhamini wa Ligi Kuu, lakini imesema itaifanyia kazi aria hiyo kabla ya kutoa majibu.
  Jioni ya leo GSM imetangaza kujitoa katika orodha ya wadhamini wa Ligi Kuu kwa kile ilichokieleza TFF na Bodi ya Ligi (TPLB) kushindwa kutekeleza makubaliano.
  Aidha, Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Gharib Said Mohamed amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars kuanzia leo. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAITAFUTIA MAJIBU GSM KUJITOA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top