• HABARI MPYA

  Friday, February 11, 2022

  DICKSON JOB AFUNGIWA MECHI TATU FAINI 500,000


  BEKI wa Yanga, Dickson Job amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa Mbeya City, Richardson Ng’ondya kwenye mchezo baina ya timu hizo Februari 5, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DICKSON JOB AFUNGIWA MECHI TATU FAINI 500,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top