• HABARI MPYA

        Wednesday, February 09, 2022

        MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA SC


        KUELEKEA mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohammed ‘Mo’ Dewji leo amekutana na kuzungumza na wachezaji na benchi la ufundi.




        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry