• HABARI MPYA

  Friday, February 25, 2022

  GABASKI AKUTANA NA MAKIPA WA SIMBA CASABLANCA


  KIPA wa Zamalek ya Misri, Mohamed Qotb Abou Gabal Ali, ‘Gabaski’ akiwa na makipa wa Simba SC, Aishi Manula, 
  Abdul Salum na Beno Kakolanya Jijini Casablanca nchini Morocco jana. 


  Wakati Zamalek itamenyana na wenyeji, Wydad Athletic kesho katika mechi ya Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watamenyana na wenyeji wengine, RSB Berkane Jumapili katika mechi ya Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika.
  Gabaski aling’ara kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika akiisaidia Misri kufika fainali kabla ya kufungwa na Senegal kwa penalti nchini Cameroon.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GABASKI AKUTANA NA MAKIPA WA SIMBA CASABLANCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top