• HABARI MPYA

  Sunday, February 13, 2022

  IHEFU YAZIDI KUJISOGEZA ANGA ZA LIGI KUU

  TIMU ya Ihefu SC ya Mbarali mkoani Mbeya imezidi kuweka hai matumaini ya kurejea Ligi Kuu baada ya ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Pamba FC Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
  Kwa ushindi huo, Ihefu inafikisha pointi 41 katika mchezo wa 17, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na DTB ambayo pia ina mechi moja mkononi na leo itamenyana na Green Warriors.


  MATOKEO YOTE CHAMPIONSHIP JANA
  Transit Camp  1-0   African Lyon
  Kengold           2-1  Gwambina FC
  Pamba FC       0-1  Ihefu SC
  JKT Tanzania  4-0   Fountain Gate
  Ndanda FC     1-1   Mashujaa FC   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU YAZIDI KUJISOGEZA ANGA ZA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top