TIMU ya Liverpool imetanguliza mguu mmoja Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Inter Milan usiku wa Jumatano Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan nchini Italia. Katika mchezo huo wa kwanza Hatua ya 16 Bora, mabao ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 75 na Mohamed Salah dakika ya 83. Mechi nyingine ya 16 Bora jana, wenyeji, Red Bull Salzburg wamelazimishwa sare ya 1 -1 na Bayern Munich Uwanja wa Red Bull Arena Jijini Wals-Siezenheim.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment