• HABARI MPYA

  Monday, February 07, 2022

  TANZANIA PRISONS YAREJESHA MECHI ZAKE MBEYA


  KLABU ya Tanzania Prisons imeamua kurejesha mechi zake za nyumbani Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya kuanzia hatua iliyobaki ya msimu.
  Hatua hiyo inafuatia mwenendo mbaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa msimu wa pili mfululizo sasa tangu ihamie Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa.
  Kwa sasa Tanzania Prisons inashika mkia katika Ligi Kuu, ikiwa imeambulia pointi 11 tu katika mechi 14.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA PRISONS YAREJESHA MECHI ZAKE MBEYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top