• HABARI MPYA

  Friday, February 11, 2022

  MAREFA WALIOIUMA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA


  REFA Hussein Athumani kutoka Katavi na Msaidizi wake namba mbili, Godfrey Msakila wa Geita wamefungiwa mechi tatu baada ya kuvurunda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga na Mbeya City Februari 5, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Waamuzi hao walimhukumu kinyume cha sheria mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kuotea akiwa kwenye nafasi ya kufunga katika mchezo ambao timu hizo zilitoka sare ya 0-0.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAREFA WALIOIUMA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY WAFUNGIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top