• HABARI MPYA

  Tuesday, February 08, 2022

  AZAM FC YAPASHA KUIVAA BAGA FRIENDS JUMAMOSI

  KIUNGO wa Azam FC akifanya mazoezi kujiandaa na mchezo wake wa Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Baga Friends Jumamosi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  MECHI ZA 16 BORA ASFC
  FEB 12

  Baga Friends ​v ​Azam FC​​​ 
  Mbuni FC ​​v ​Geita Gold FC​​
  FEB 14
  Coastal Union ​v ​Mtibwa Sugar​​
  Kagera Sugar ​v ​Namungo FC​​
  FEB 15
  TZ Prisons ​​v ​Polisi TZ
  Yanga Sc ​​v ​Biashara United​​
  FEB 12
  Pamba ​​v ​Dodoma Jiji​​- Mwanza
  Ruvu Shooting ​v ​Azam FC​​​


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAPASHA KUIVAA BAGA FRIENDS JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top