• HABARI MPYA

    Friday, February 11, 2022

    REFA ALIYEWABEBA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA AFUNGIWA


    REFA Ahmada Simba wa Kagera amefungiwa mechi tatu kwa kosa kukubali bao la kuotea la kiungo Mzambia, Clatous Chama katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza, Simba SC ikiibuka na ushindi wa 1-0 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 3, mwaka huu.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REFA ALIYEWABEBA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA AFUNGIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top