• HABARI MPYA

  Monday, February 07, 2022

  MAYELE MCHEZAJI BORA LIGI KUU FEBRUARI

  MSHAMBULIAJI Mkongo wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Januari, huku Francis Baraza wa Kagera Sugar akiwa Kocha Bora.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYELE MCHEZAJI BORA LIGI KUU FEBRUARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top