• HABARI MPYA

  Thursday, February 10, 2022

  SIMBA SC YAKABIDHIWA JEZI ZA KUTANGAZA UTALII CAF


  MWENYEKITI wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo (kulia) akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez jezi yenye ujumbe wa kuitangaza nchi leo hoteli y Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.


  Simba watatumia JEZI hizo kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia Jumapili kwenye mchezo wao wa ufunguzi wa Kundi D dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast Saa 10:00 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAKABIDHIWA JEZI ZA KUTANGAZA UTALII CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top