• HABARI MPYA

  Friday, February 25, 2022

  LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU


  MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Relliant Lusajo amemaliza mzunguko wa kwanza anaongoza kwa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufumania nyavu mara 10, mara tatu zaidi ya Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top