• HABARI MPYA

  Saturday, February 19, 2022

  SIMBA SC SAFARI NIGER KWA MAJUKUMU YA KIMATAIFA


  MASAFARA wa Simba umefika salama Jijini Addis Ababa, Ethiopia ambako wachezaji watalala kabla ya kuunganisha ndege kesho asubuhi kwenda nchini Niger.
  Ikumbukwe Jumapili Simba watakuwa na mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, US Gendarmerie kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC SAFARI NIGER KWA MAJUKUMU YA KIMATAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top