• HABARI MPYA

  Friday, February 11, 2022

  BUMBULI NA MANARA WAPIGWA FAINI KILA MMOJA


  MAAFISA Habari wa Yanga SC, Hassan Bumbuli na Haji Manara kila mmoja ametozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kuwashutumu marefa kwenye vyombo vya Habari Februari 8, mwaka huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BUMBULI NA MANARA WAPIGWA FAINI KILA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top