• HABARI MPYA

  Sunday, February 27, 2022

  MAN CITY YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK


  BAO pekee la kiungo Philip Foden dakika ya82 jana limeipa Manchester City FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Everton FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park, Liverpool.
  Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 66 katika mchezo wa 27 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi sita zaidi ya Liverpool, ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi, wakati Everton inabaki na pointi zake 22 za mechi 24 nafasi ya 17.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top