• HABARI MPYA

  Wednesday, February 09, 2022

  KARIA, KIDAU WAKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Katibu Mkuu wake, Kidao Wilfred leo wamekutana na Balozi wa Uturuki hapa nchini Dk. Mehmet Gulluoglu ofisini kwake, Oysterbay, Dar es Salaam kuzungumzia juu ya ushirikiano katika maendeleo ya mchezo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KARIA, KIDAU WAKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top