• HABARI MPYA

  Thursday, February 24, 2022

  MAN U YAPATA SARE MADRID NA ATLÉTICO


  WENYEJI, Atletico Madrid wamelazimishwa sare ya 1-1 na Manchester United katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja we Wanda Metropolitano Jijini Madrid.
  Joao Felix alianza kuwafungia wenyeji, Atlético dakika ya saba, kabla ya Anthony Elanga kuisawazishia Manchester United dakika ya 80.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN U YAPATA SARE MADRID NA ATLÉTICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top