• HABARI MPYA

  Saturday, February 12, 2022

  BEKI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAJILIWA LIGI KUU SERBIA


  BEKI chipukizi Mtanzania, Alphonce Mabula Msanga amesajiliwa na Klabu ya Spartak Seubotica ya Serbia kwa Mkataba wa miaka minne na nusu.
  Mabula mwenye umri wa miaka 18 sasa, aliibukia timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys na akacheza Fainali za Vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) mwaka 2019 zilizofanyika hapa nchini kabla ya kupandishwa timu ya vijana U20.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAJILIWA LIGI KUU SERBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top