• HABARI MPYA

  Tuesday, February 15, 2022

  MORRISON ASAMEHEWA, AREJESHWA KUNDINI SIMBA


  WINGA Mghana, Bernard Morrison amesamehewa na kurejeshwa kundini Simba SC kufuatia kuomba radhi juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu zilizokuwa zinamkabili.
  Meneja Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmed Ally baada ya kuomba radhi, Morrison amerejeshwa kundini na ataanza kuonekana tena uwanjani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORRISON ASAMEHEWA, AREJESHWA KUNDINI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top